Luke 9:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine wakasema Ilya amewatokea, na wengine kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wengine ya kwamba Eliya ametokea, na wengine ya kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amefufuka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wengine walisema, “Eliya amekuja kwetu,” na baadhi ya watu wengine walisema “Mmoja wa manabii wa kale amefufuka kutoka kwa wafu”.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wengine walisema kwamba Eliya ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine wakasema Eliya amewatokea, na wengine wakasema kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine wakasema Ilya amewatokea, na wengine wakasema kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wengine ya kwamba Eliya ametokea, na wengine ya kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amefufuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wengine: Elia ametokea, wengine: Mmoja wao wafumbuaji wa kale amefufuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wengine ya kwamba Eliya ametokea, na wengine ya kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amefufuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wengine walikuwa wakisema kwamba Elia ametokea. Na wengine walisema kwamba mumoja wa manabii wa zamani amefufuka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na wengine kwamba Eliya ametokea: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka.