Malachi 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikamchukia Esau. Nimeiharibu nchi ya milima ya Esau ambayo ni urithi wake, nikawaachia mbwamwitu wa jangwani. Nao wazawa
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya nchi yake ya vilima kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali Esau nimemchukia na kuifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikamchukia Esau. Nimeiharibu nchi ya milima ya Esau ambayo ni urithi wake, nikawaachia mbwamwitu wa jangwani. Nao wazawa
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali Esau nimemchukia na kuifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikamchukia Esau. Nimeiharibu nchi ya milima ya Esau ambayo ni urithi wake, nikawaachia mbwamwitu wa jangwani. Nao wazawa
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Esau nilimchukia, milima yake nikaigeuza kuwa mapori matupu, nalo fungu lake nikawapa mbwa wa nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali Esau nimemchukia na kuifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumuchukia Esau. Nimeiharibu inchi ya milima ya Esau ambayo ni urizi wake, nikawaachia imbwa wa pori wa jangwa.