Malachi 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi mtakapoyaona hayo kwa macho yenu, mtatambua na kusema: ‘Ukuu wa Mwenyezi-Mungu wafika hata nje ya mipaka ya nchi ya Israeli.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtayaona kwa macho yenu wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi Mungu ni mkuu, hata nje ya mipaka ya Israeli!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na macho yenu ninyi yataona, nanyi mtasema, Bwana ndiye mkuu kupita mpaka wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi mtakapoyaona hayo kwa macho yenu, mtatambua na kusema: ‘Ukuu wa Mwenyezi-Mungu wafika hata nje ya mipaka ya nchi ya Israeli.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtayaona kwa macho yenu wenyewe na kusema, ‘BWANA ni mkuu, hata nje ya mipaka ya Israeli!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtayaona kwa macho yenu wenyewe na kusema, ‘ bwana ni mkuu, hata nje ya mipaka ya Israeli!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na macho yenu ninyi yataona, nanyi mtasema, BWANA ndiye mkuu hata katika nje ya mipaka ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi mtakapoyaona hayo kwa macho yenu, mtatambua na kusema: ‘Ukuu wa Mwenyezi-Mungu wafika hata nje ya mipaka ya nchi ya Israeli.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yenu yatayaona, nanyi mtasema: Bwana hutukuka kuipita mipaka ya Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na macho yenu ninyi yataona, nanyi mtasema, BWANA ndiye mkuu kupita mpaka wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mutakapoyaona mambo yale kwa macho yenu, mutatambua na kusema: Ukubwa wa Yawe unafika hata inje ya mipaka ya inchi ya Israeli.