Malachi 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu wa majeshi awaambia makuhani: “Sasa enyi makuhani, nawaamuruni hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa onyo hili ni kwa ajili yenu, enyi makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, enyi makuhani, amri hii yawahusu ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi awaambia makuhani: “Sasa enyi makuhani, nawaamuruni hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa onyo hili ni kwa ajili yenu, Enyi makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa onyo hili ni kwa ajili yenu, enyi makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, enyi makuhani, amri hii yawahusu ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi awaambia makuhani: “Sasa enyi makuhani, nawaamuruni hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ninyi watambikaji, agizo hili mnatolewa ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, enyi makuhani, amri hii yawahusu ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe wa majeshi anawaambia makuhani: Sasa enyi makuhani, ninawaamuru hivi: