Malachi 2:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu na awaondolee mbali watu wanaofanya mambo hayo kutoka miongoni mwa wazawa wa Yakobo. Na kamwe wasishiriki katika kutoa ushuhuda na kuleta tambiko mbele ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kwa mtu yeyote atendaye jambo hili, Mwenyezi Mungu na amkatilie mbali kutoka mahema ya Yakobo, hata kama huwa anamletea Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni sadaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atamtenga mtu atendaye hayo, yeye aliye macho, na yeye ajibuye, atamtenga na hema za Yakobo, pia atamtenga yeye amtoleaye Bwana wa majeshi dhabihu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu na awaondolee mbali watu wanaofanya mambo hayo kutoka miongoni mwa wazawa wa Yakobo. Na kamwe wasishiriki katika kutoa ushuhuda na kuleta tambiko mbele ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kwa mtu awaye yote atendaye jambo hili, BWANA na amkatilie mbali kutoka hema za Yakobo, hata kama huwa anamletea BWANA Mwenye Nguvu Zote sadaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kwa mtu yeyote atendaye jambo hili, bwana na amkatilie mbali kutoka hema za Yakobo, hata kama huwa anamletea bwana Mwenye Nguvu Zote sadaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atamtenga mtu atendaye hayo, yeye aliye macho, na yeye ajibuye, atamtenga na hema za Yakobo, pia atamtenga yeye amtoleaye BWANA wa majeshi dhabihu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu na awaondolee mbali watu wanaofanya mambo hayo kutoka miongoni mwa wazawa wa Yakobo. Na kamwe wasishiriki katika kutoa ushuhuda na kuleta tambiko mbele ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu afanyaye hayo Bwana na amwangamize mahemani mwa Yakobo, mfunzi na mwanafunzi naye ampelekeaye Bwana Mwenye vikosi vipaji vya tambiko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atamtenga mtu atendaye hayo, yeye aliye macho, na yeye ajibuye, atamtenga na hema za Yakobo, pia atamtenga yeye amtoleaye BWANA wa majeshi dhabihu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe awatenge mbali watu wanaofanya mambo hayo kutoka kati ya wazao wa Yakobo. Na wasishiriki hata kidogo katika kutoa ushuhuda na kuleta sadaka mbele ya Yawe wa majeshi.