Malachi 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Katika agano hilo, niliwaahidi uhai na amani na kwamba wao ni lazima kunicha mimi, nao kwa upande wao walinicha mimi, wakaliogopa jina langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Agano langu lilikuwa pamoja naye, agano la uhai na amani, nami nilimpa yote, ili aniche na kuniheshimu, naye akaniheshimu na kusimama akilicha Jina langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Agano langu naye lilikuwa agano la uhai na amani; nami nikampa ili aogope, naye akaniogopa, akalicha jina langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Katika agano hilo, niliwaahidi uhai na amani na kwamba wao ni lazima kunicha mimi, nao kwa upande wao walinicha mimi, wakaliogopa jina langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Agano langu lilikuwa pamoja naye, agano la uhai na amani, nami nilimpa yote, ili aniche na kuniheshimu, naye akaniheshimu na kusimama akilicha Jina langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Agano langu lilikuwa pamoja naye, agano la uhai na amani, nami nilimpa yote, ili aniche na kuniheshimu, naye akaniheshimu na kusimama akilicha Jina langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Agano langu naye lilikuwa agano la uhai na amani; nami nikampa ili aogope, naye akanicha na kulihofu jina langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Katika agano hilo, niliwaahidi uhai na amani na kwamba wao ni lazima kunicha mimi, nao kwa upande wao walinicha mimi, wakaliogopa jina langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Agano langu, nililolifanya naye, lilikuwa la kumpatia uzima na utengemano; naye ndiye, niliyempa, aniogope; akaniogopa kweli, akajinyenyekeza mbele ya Jina langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Agano langu naye lilikuwa agano la uhai na amani; nami nikampa ili aogope, naye akaniogopa, akalicha jina langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika agano hilo, niliwaahidi uzima na amani na kwamba wao wanapaswa kunitii mimi, nao kwa upande wao walinitii mimi na kuogopa jina langu.