Malachi 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafundisho yao yalikuwa ya kweli na kamwe hawakufundisha uongo. Mimi na wao tulikaa kwa amani. Si kwamba walitenda haki tu, bali waliwafundisha wengine kutotenda maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fundisho la kweli lilikuwa kinywani mwake, wala hakuna uongo wowote uliopatikana katika midomo yake. Alitembea nami katika amani na unyofu, naye akawageuza wengi kutoka dhambini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sheria ya kweli ilikuwa kinywani mwake, wala udhalimu haukuonekana midomoni mwake; alikwenda pamoja nami katika amani na unyofu, na kuwageuza wengi hata wakaacha uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafundisho yao yalikuwa ya kweli na kamwe hawakufundisha uongo. Mimi na wao tulikaa kwa amani. Si kwamba walitenda haki tu, bali waliwafundisha wengine kutotenda maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fundisho la kweli lilikuwa kinywani mwake, wala hakuna uongo wo wote uliopatikana katika midomo yake. Alitembea nami katika amani na unyofu, naye akawageuza wengi kutoka dhambini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fundisho la kweli lilikuwa kinywani mwake, wala hakuna uongo wowote uliopatikana katika midomo yake. Alitembea nami katika amani na unyofu, naye akawageuza wengi kutoka dhambini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sheria ya kweli ilikuwa kinywani mwake, wala udhalimu haukuonekana midomoni mwake; alikwenda pamoja nami katika amani na unyofu, na kuwageuza wengi hata wakaacha uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafundisho yao yalikuwa ya kweli na kamwe hawakufundisha uongo. Mimi na wao tulikaa kwa amani. Si kwamba walitenda haki tu, bali waliwafundisha wengine kutotenda maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maonyo ya kweli yalikuwa kinywani mwake, lakini uovu haukuonekana midomoni mwake, akendelea kufuatana na mimi kwa utengemano na kwa unyofu, akarudisha wengi, wasiufuate uovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sheria ya kweli ilikuwa kinywani mwake, wala udhalimu haukuonekana midomoni mwake; alikwenda pamoja nami katika amani na unyofu, na kuwageuza wengi hata wakaacha uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafundisho yao yalikuwa ya kweli nao hawakufundisha uongo hata kidogo. Mimi na wao tulikaa kwa amani. Si kwamba walitenda haki tu, lakini waliwafundisha wengine kutotenda maovu.