Malachi 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Maneno yenu yamekuwa mzigo kwangu. Hata hivyo mnasema, ‘Tumesema nini dhidi yako?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema Mwenyezi Mungu. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema Bwana. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno juu yako kwa namna gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Maneno yenu yamekuwa mzigo kwangu. Hata hivyo mnasema, ‘Tumesema nini dhidi yako?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema BWANA. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema bwana. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema BWANA. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno juu yako kwa namna gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Maneno yenu yamekuwa mzigo kwangu. Hata hivyo mnasema, ‘Tumesema nini dhidi yako?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno yenu, mliyoyasema kwa ajili yangu, yamekuwa magumu; ndivyo, Bwana anavyosema, nanyi mkauliza: Tumesema nini kwa ajili yako wewe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema BWANA. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno juu yako kwa namna gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Maneno yenu yamekuwa muzigo kwangu. Hata hivyo munasema: Tumesema nini juu yako?