Malachi 3:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, tambiko za watu wa Yuda na wa Yerusalemu zitampendeza Mwenyezi-Mungu kama za watu wa kale; kama katika miaka ya zamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nazo sadaka za Yuda na Yerusalemu zitakubalika kwa Mwenyezi Mungu, kama katika siku zilizopita, kama katika miaka ya zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule ndipo dhabihu za Yuda na Yerusalemu zitakapopendeza mbele za Bwana, kama katika siku za kale, na kama katika miaka ya zamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, tambiko za watu wa Yuda na wa Yerusalemu zitampendeza Mwenyezi-Mungu kama za watu wa kale; kama katika miaka ya zamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nazo sadaka za Yuda na Yerusalemu zitakubalika kwa BWANA, kama katika siku zilizopita, kama katika miaka ya zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nazo sadaka za Yuda na Yerusalemu zitakubalika kwa bwana, kama katika siku zilizopita, kama katika miaka ya zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule ndipo dhabihu za Yuda na Yerusalemu zitakapopendeza mbele za BWANA, kama katika siku za kale, na kama katika miaka ya zamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, tambiko za watu wa Yuda na wa Yerusalemu zitampendeza Mwenyezi-Mungu kama za watu wa kale; kama katika miaka ya zamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, vipaji vya tambiko vya Yuda na vya Yerusalemu vitakapompendeza Bwana kama katika siku za kale na kama katika miaka iliyopita zamani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule ndipo dhabihu za Yuda na Yerusalemu zitakapopendeza mbele za BWANA, kama katika siku za kale, na kama katika miaka ya zamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, sadaka za watu wa Yuda na wa Yerusalema zitamupendeza Yawe kama za watu wa zamani; kama katika miaka iliyopita.