Malachi 3:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi na taifa lenu lote mmelaaniwa kwa sababu ya kunidanganya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi na taifa lenu lote mmelaaniwa kwa sababu ya kunidanganya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi na taifa lenu lote mmelaaniwa kwa sababu ya kunidanganya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mmekwisha kuapizwa kwa kiapizo, tena ninyi mmeninyima yaliyo yangu, taifa hili lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi na taifa lenu lote mumelaaniwa kwa sababu ya kunidanganya.