Malachi 4:5 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama, nitawapelekea nabii Ilya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya Bwana, iliyo kuu na kuogofya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama, nitawapelekea nabii Ilya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni, nitawatumia Eliya nabii, kabla siku ile ya BWANA, iliyo kuu na ya kuogofya haijafika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na mwone, nikimtuma mfumbuaji Elia kuja kwenu, siku kubwa ya Bwana iogopeshayo itakapokuwa haijatimia bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya BWANA, iliyo kuu na kuogofya.