Mark 1:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara akaongozwa na Roho kwenda jangwani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo huo, Roho wa Mungu akamwongoza Isa hadi nyikani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara Roho akamtoa aende nyikani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha baada ya kutokea mambo haya Roho Mtakatifu alimchukua Yesu na kumpeleka nyikani,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara akaongozwa na Roho kwenda jangwani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara akaongozwa na Roho kwenda jangwani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo huo, Roho akamwongoza Isa kwenda nyikani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara Roho akamtoa aende nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara akaongozwa na Roho kwenda jangwani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo Roho akamchukua, akampeleka nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara Roho akamtoa aende nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Roho Mutakatifu akamusukuma Yesu kwenda katika jangwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra Roho akamwongoza hatta jangwani.