Mark 1:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akawaambia, Njoni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia, “njooni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa aina nyingine, nitawafundisha jinsi ya kukusanya watu badala ya samaki.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya ninyi wavuvi wa watu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawaambia, “Njoni nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akawaambia, Njooni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akawaambia: Njoni, mnifuate! Nami nitawafanya kuwa wavua watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akawaambia, Njoni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawaambia: “Munifuate, nami nitawaweka kwa kazi ya kuopoa watu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.