Mark 1:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaenda hadi Kapernaumu. Mara ilipofika siku ya Sabato, Isa akaingia sinagogi, akaanza kufundisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu na wafuasi wake waliingia Kapernaumu. Siku ya Sabato Yesu aliingia katika sinagogi na akaanza kuwafundisha watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika Sunagogi, akaanza kufundisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaenda mpaka Kapernaumu. Ilipofika siku ya Sabato, mara Yesu akaingia kwenye sinagogi akaanza kufundisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaenda mpaka Kapernaumu. Ilipofika siku ya Sabato, mara Isa akaingia sinagogi, akaanza kufundisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaenda, wakaingia Kapernaumu. Ilipokuwa siku ya mapumziko, akaiingia nyumba ya kuombea, akafundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu na wanafunzi wake walienda Kapernaumu. Siku ya Sabato ilipotimia, Yesu akaingia katika nyumba ya kuabudia na kufundisha watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.
Recommended Reading