Mark 1:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka, wala si kama walimu wa Torati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakashangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walishangaa sana namna alivyokuwa akifundisha. Hakufundisha kama walimu wao wa sheria; alifundisha kwa mamlaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama walimu wao wa Sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakashangaa sana mafundisho yake, kwa maana aliwafundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wa sheria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana aliwafundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wa Torati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakashangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka, wala si kama waandishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakashangazwa na mafundisho yake; kwani alikuwa akiwafundisha kama mwenye nguvu, si kama waandishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakashangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliomusikia walishangaa sana kuona namna alivyofundisha, kwa maana hakuwafundisha sawa na walimu wao wa Sheria, lakini kama mutu mwenye mamlaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakashangaa kwa mafundisho yake; kwa sababu alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka wala si kama waandishi.

Recommended Reading