Mark 1:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo huo katika sinagogi lao palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, naye akapaza sauti akisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndani ya sinagogi alikuwemo mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Naye mara alipiga kelele na kusema,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo huo, palikuwa na mtu kwenye sinagogi lao aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo huo katika sinagogi lao palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo nyumbani mwao mwa kuombea mkawa na mtu aliyekuwa na pepo mchafu; akapaza sauti
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saa ile, mutu mumoja aliyeshikwa na pepo alikuwa ndani ya nyumba ya kuabudia. Akaanza kulalamika, akisema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye pepo mchafu; akapaaza sauti,