Mark 1:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamkemea huyo pepo akisema, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Isa akamkemea, akamwamuru, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu akamkemea na kumwambia, “Nyamaza kimya, na kisha umtoke ndani yake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamkemea, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamkemea huyo pepo akisema, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yesu akamkemea, akamwambia, “Nyamaza kimya! Nawe umtoke!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Isa akamkemea, akamwambia, “Nyamaza kimya! Nawe umtoke!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamkemea huyo pepo akisema, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu alipomkaripia akisema: Nyamaza, umtoke!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamukaripia kwa nguvu, akimwamuru: “Nyamaza, na utoke ndani ya mutu huyu!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akamkaripia, akinena, Fumba kinywa, umtoke.