Mark 1:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule pepo mchafu akamgaragaza huyo mtu kwa nguvu, kisha akamtoka akipiga kelele kwa sauti kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo roho yule mchafu akamfanya mtu yule atetemeke. Kisha akatoa sauti kubwa na kisha akamtoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule pepo mchafu akamtikisatikisa sana huyo mtu kwa nguvu akipiga kelele kwa sauti kubwa, kisha akamtoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule pepo mchafu akamtikisatikisa huyo mtu kwa nguvu, kisha akamtoka akipiga kelele kwa sauti kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, yule pepo mchafu alipomsukumasukuma, akalia kwa sauti kuu, kisha akamtoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule pepo akamutikisa mutu yule kwa nguvu, akatoka ndani yake, akilalamika kwa nguvu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule pepo mchafu akamrarua, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.