Mark 1:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Habari zake zikaenea mara kotekote katika nchi zote kandokando ya Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo habari kuhusu Yesu zikaenea haraka katika eneo lote la Galilaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika wilaya ya Galilaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sifa zake zikaanza kuenea kwa upesi katika eneo lote la karibu na Galilaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Habari zake zikaenea haraka kote katika nchi zote kandokando ya Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo uvumi wake ukatoka, ukaenea upesi po pote katika nchi zote zilizozunguka Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari zake zikaenea mara kotekote katika nchi zote kandokando ya Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu sifa za Yesu zikaenea upesi katika jimbo lote la Galilaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Khahari zake zikaenea marra inchi zote kando ya Galilaya.
Recommended Reading