Mark 1:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao walipomwona, wakapaza sauti, wakasema, “Kila mtu anakutafuta!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na walipompata, wakamwambia, “kila mmoja anakutafuta.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipomwona wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
walipomwona wakamwambia: Wote wanakutafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipomwona wakamwambia: “Watu wote wanakutafuta.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakamwona, wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.