Mark 1:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akaenda kila mahali huko Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo akazunguka Galilaya yote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaenda akihubiri katika masinagogi yao, katika nchi yote ya Galilaya, na kutoa pepo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Yesu alienda katika wilaya yote iliyoko mashariki mwa ziwa la Galilaya akihubiri Habari Njema katika masinagogi na kuwafungua watu kutoka katika nguvu za mashetani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akaenda kila mahali Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akaenda kila mahali huko Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo akazunguka Galilaya kote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo akazunguka Galilaya kote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaenda akihubiri katika masinagogi yao, katika nchi yote ya Galilaya, na kutoa pepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akaenda kila mahali huko Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda katika nchi yote ya Galilea, akapiga mbiu katika nyumba zao za kuombea, akafukuza pepo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaenda akihubiri katika masinagogi yao, katika nchi yote ya Galilaya, na kutoa pepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi akaenda fasi zote katika Galilaya, akihubiri katika nyumba za kuabudia na kufukuza pepo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawa akikhubiri katika masuuagogi yao, katika inchi yote ya Galilaya, na kufukuza pepo.