Mark 1:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Isa kumwonya vikali, akamruhusu aende zake mara moja;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya hayo Yesu akampa maonyo yenye nguvu na kumruhusu aende zake mara moja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwonya vikali,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Yesu kumwonya vikali, akamruhusu aende zake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Isa kumwonya vikali, akamruhusu aende zake
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo akamkimbiza na kumkemea
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pale pale Yesu akamwagiza kwa nguvu aende na kusema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamkataza kwa nguvu, marra akamwondosha, akamwambia, Fahamu, usimpe khabari mtu ye yote,