Mark 10:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye akawaambia, “yeyote atakayemtaliki mke wake na kuoa mwanamke mwingine, anazini kinyume cha mkewe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawajibu, “Mtu ye yote anayemwacha mkewe na kuoa mke mwingine, azini naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Mtu akimwacha mkewe na kuoa mwingine anazini naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawaambia: “Kila mutu anayemufukuza muke wake na kuoa mwingine, anazini na kumukosea yule muke wa kwanza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Killa mtu atakaemwacha mkewe na kuoa mwingine azini na kumkosa: