Mark 10:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nao watu wakawaleta watoto wadogo kwa Yesu, ili aweze kuwawekea mikono na kuwabariki. Hata hivyo wanafunzi wake waliwakemea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walikuwa wakimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse lakini wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Wakamletea vitoto, awaguse. Lakini wanafunzi waliwatisha waliowaleta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wamoja wakamuletea Yesu watoto kusudi awawekee mikono, lakini wanafunzi wake wakawakaripia watu wale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamletea watoto wachanga illi awaguse: wanafunzi wake wakawakemea wao waliowaleta.