Mark 10:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nao walistajaabu zaidi, na wakaambiana wao kwa wao, “Ni nani basi atakayeweza kuokolewa?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake wakashangaa mno. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokolewa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakastuka mno, wakasemezana wao kwa wao: Ikiwa hivyo, yuko nani awezaye kuokoka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafunzi waliposikia maneno hayo wakazidi kushangaa hata wakaulizana wao kwa wao: “Ni nani basi anayeweza kuokolewa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao wakashangaa mno, wakiambiana, Nani, bassi, awezae kuokoka?