Mark 10:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro akaanza kumwambia, “Tazama! Tumeacha kila kitu tukakufuata.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro akaanza kumwambia, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akaanza kumwambia: Tazama, sisi tumeviacha vyote, tukakufuata wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro akamwambia: “Angalia sisi tumeacha vyote na kukufuata wewe!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.