Mark 10:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua. Lakini baada ya siku tatu atafufuka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watamdhihaki, na kumtemea mate, na kumpiga mijeledi, na kumwua; na baada ya siku tatu atafufuka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nao watamdhihaki, na watamtemea mate, na watamchapa kwa viboko vya ngozi, nao watamwua. Ndipo atafufuka baada ya siku ya tatu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua. Na baada ya siku tatu atafufuka.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua. Lakini baada ya siku tatu atafufuka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao watamdhihaki, watamtemea mate, watampiga na kumwua. Siku tatu baada ya kifo chake atafufuka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watamdhihaki, na kumtemea mate, na kumpiga mijeledi, na kumwua; na baada ya siku tatu atafufuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua. Lakini baada ya siku tatu atafufuka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio watakaomfyoza na kumtemea mate na kumpiga viboko na kumwua. Naye, siku tatu zitakapopita, atafufuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watamdhihaki, na kumtemea mate, na kumpiga mijeledi, na kumwua; na baada ya siku tatu atafufuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watamuchekelea, watamutemea mate, watamupiga fimbo na kumwua. Lakini kwa siku ya tatu kisha kufa kwake, atafufuka.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na watamhukumu afe, watamtia mikononi mwa mataifa, nao watamdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumtemea mate, na kumwua: na siku ya tatu atafufuka.