Mark 10:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu wakamwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakaja kwake na kumwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie lolote tutakalokuomba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakamwendea, wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote tutakalokuomba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu, wakamwambia, “Mwalimu tunataka utufanyie kile tunachokuomba.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu wakamwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu wakamwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakaja mbele alikokuwa na kumwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie lo lote tutakalokuomba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakaja kwake na kumwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie lolote tutakalokuomba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakamwendea, wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lolote tutakalokuomba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu wakamwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Yakobo na Yohana, wana wa Zebedeo, wakamsogelea wakimwambia: Mfunzi, twataka, ufufanyie lo lote, tutakalokuomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakamwendea, wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote tutakalokuomba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wana wawili wa Zebedayo, Yakobo na Yoane, wakamufikia Yesu na kumwambia: “Mwalimu, tunataka utufanyie jambo tutakalokuomba.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakamwendea, wakimwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote tutakalokuomba.