Mark 10:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata wale kumi waliposikia wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale wanafunzi kumi wengine walipoyasikia maombi haya, waliwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata wale kumi waliposikia wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenzao kumi walipoyasikia wakaanza kumkasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata wale kumi waliposikia wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafunzi wengine kumi waliposikia maneno yale, wakachukizwa na Yakobo na Yoane.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta wale kumi waliposikia wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.