Mark 10:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na yeyote anayetaka kuwa wa kwanza, hana budi kuwa mtumwa wa wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mtu anayetaka kuwa wa kwanza wenu, atakuwa mtumwa wa wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeyote anayetaka kuwa wa kwanza miongoni mwenu lazima akubali kuwa mtumwa wenu wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na ye yote anayetaka kuwa wa kwanza, hana budi kuwa mtumwa wa wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na yeyote anayetaka kuwa wa kwanza, hana budi kuwa mtumwa wa wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mtu anayetaka kuwa wa kwanza wenu, atakuwa mtumwa wa wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye anayetaka kuwa wa kwanza kwenu sharti awe mtumwa wao wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mtu anayetaka kuwa wa kwanza wenu, atakuwa mtumwa wa wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye anayetaka kuwa wa kwanza, sherti akuwe mutumwa wa wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na mtu atakae kuwa wa kwanza wenu, atakuwa mtumwa wa wote.