Mark 10:47 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliposikia kwamba ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita mahali hapo, alianza kupaza sauti, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliposikia kuwa ni Isa Al-Nasiri aliyekuwa anapita, akaanza kupaza sauti akisema, “Isa, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daudi, Yesu, unirehemu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliposikia kwamba huyo alikuwa ni Yesu wa Nazareti, alianza kupiga kelele na kusema, “Yesu Mwana wa Daudi, unihurumie!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliposikia kwamba ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita mahali hapo, alianza kupaaza sauti, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliposikia kwamba ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita mahali hapo, alianza kupaza sauti, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliposikia kuwa ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita, akaanza kupaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, unihurumie!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliposikia kuwa ni Isa Al-Nasiri aliyekuwa anapita, akaanza kupaza sauti akisema, “Isa, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daudi, Yesu, unirehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliposikia kwamba ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita mahali hapo, alianza kupaza sauti, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliposikia, ya kuwa Yesu wa Nasareti yuko, akaanza kupaza sauti na kusema: Yesu, mwana wa Dawidi, nihurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daudi, Yesu, unirehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye aliposikia kwamba Yesu wa Nazareti anapita katika njia ile, akalalamika, akisema: “Yesu Mwana wa Daudi, unisikilie huruma!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, akaanza kupaaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daud, Yesu, unirehemu.