Mark 10:48 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaza sauti, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wengi wakamkemea, wakamwambia akae kimya, lakini yeye akazidi kupaza sauti, akisema, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wengi wakamkemea ili anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na watu wengi walimkemea na kumwambia anyamaze kimya. Lakini yeye alipiga kelele kwa sauti kubwa zaidi na kusema, “Mwana wa Daudi, unihurumie!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaaza sauti, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaza sauti, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wengi wakamkemea, wakamwambia akae kimya, lakini yeye akazidi kupaza sauti akisema, “Mwana wa Daudi, unihurumie!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wengi wakamkemea, wakamwambia akae kimya, lakini yeye akazidi kupaza sauti, akisema, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wengi wakamkemea ili anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaza sauti, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengi walipomkaripia, anyamaze, yeye akakaza sana kupaza sauti: Mwana wa Dawidi, nihurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wengi wakamkemea ili anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi walimukaripia na kumwambia anyamaze, lakini alizidi kulalamika akisema: “Yesu Mwana wa Daudi, unisikilie huruma!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akasimama akaagiza aitwe.
Recommended Reading