Mark 10:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Basi kwa sababu ya hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, na kujiunga na mkewe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hii, mutu atawaacha baba yake na mama yake na kuungana na muke wake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe: