Mark 11:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Isa alikuwa na njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata asubuhi yake walipotoka Bethania aliona njaa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata, walipokuwa wakiondoka Bethania, Yesu akawa na njaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Yesu alikuwa na njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Isa alikuwa na njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku iliyofuata walipokuwa wakitoka Bethania, aliona njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake walipotoka Betania akaona njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asubuhi yake walipotoka Bethania aliona njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake, walipotoka Betania, Yesu akasikia njaa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta assubuhi yake walipotoka Bethania akaona njaa.