Mark 11:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hakuacha mtu achukue chombo kati ya hekalu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia hakumruhusu mtu yeyote abebe kitu chochote kukatiza eneo la Hekalu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hakumruhusu mtu yeyote kupitia Hekaluni akichukua kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala hakumruhusu mtu ye yote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hakumruhusu mtu yeyote kupitia katika hekalu akiwa amebeba kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hakuacha, mwenye kuchukua chombo apapitie hapo Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hakuacha mtu achukue chombo kati ya hekalu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile akawakataza watu kukatiliza na mizigo yao katika kiwanja cha hekalu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wala hakuacha mtu achukue chombo kati ya hekalu.