Mark 11:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake asubuhi walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na asubuhi walipokuwa wakipita, waliuona ule mtini umenyauka toka shinani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilipofika asubuhi Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakitembea pamoja na wakauona ule mti wa mtini umekauka kuanzia kwenye mizizi yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi yake, walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi yake walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na asubuhi walipokuwa wakipita, waliuona ule mtini umenyauka toka shinani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asubuhi walipopita wakauona mkuyu, umekuwa umekauka toka mizizini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na asubuhi walipokuwa wakipita, waliuona ule mtini umenyauka toka shinani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake asubui, walipokuwa wakipita, wakaona ule muti wa tini, nao ulikuwa umekauka wote, hata mizizi yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na assubuhi walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umekauka tangu shina lake.