Mark 11:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro akakumbuka na kumwambia Isa, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro akakumbuka habari yake, akamwambia, Rabi, tazama, mtini ulioulaani umenyauka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro akakumbuka yale Yesu aliyosema kwa mti huo na kumwambia, “Mwalimu, tazama! Mti ule wa mtini ulioulaani umenyauka kabisa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro akakumbuka na kumwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro akakumbuka na kumwambia Isa, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro akakumbuka habari yake, akamwambia, Rabi, tazama, mtini ulioulaani umenyauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akalikumbuka neno lile, akamwambia: Bwana, tazama, mkuyu, uliouapiza, umenyauka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akakumbuka habari yake, akamwambia, Rabi, tazama, mtini ulioulaani umenyauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro akakumbuka mambo yaliyotokea mbele, akamwambia Yesu: “Mwalimu, angalia, ule muti wa tini ulioulaani umekauka.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akakumbuka khabari yake, akamwabia, Rabbi, tazama, mtini ulioulaani umekauka.