Mark 11:26 — Compare Translations
12 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe nyinyi makosa yenu.]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.] ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe nyinyi makosa yenu.]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi msipoondoleana, naye Baba alioko mbinguni hatawaondolea makosa yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musipowasamehe wengine, Baba yenu anayekuwa mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu vilevile.]”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
La, kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.