Mark 11:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka ya kufanya hayo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamwambia, Ni kwa mamlaka gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na kumwuliza, “Kwa mamlaka gani unafanya vitu hivi? Nani alikupa mamlaka ya kuvifanya?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Naye ni nani aliyekupa mamlaka ya kufanya hayo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka ya kufanya hayo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamwambia, Ni kwa mamlaka gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwuliza: Hayo unayafanya kwa nguvu gani? au ni nani aliyekupa nguvu hii, uyafanye hayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamwambia, Ni kwa mamlaka gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwuliza: “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka haya?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa mamlaka gani utendayo haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya?