Mark 11:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ubatizo wa Yahya ulitoka mbinguni au kwa wanadamu? Niambieni!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Nijibuni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni ama ulitoka kwa watu? Sasa mnijibu basi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niambieni, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niambieni, je, ubatizo wa Yahya ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Nijibuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ubatizo wake Yohana ulitoka mbinguni au kwa watu? Nijibuni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Nijibuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoane alipata mamlaka ya kubatiza kutoka kwa nani? Kwa Mungu au kwa watu? Munijibu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wana Adamu? Nijibuni.