Mark 11:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaenda, wakampata mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaenda zao, wakamwona mwana-punda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo wakaondoka, nao wakamkuta mwana punda huyo amefungwa katika mtaa wa wazi karibu na mlango. Wakamfungua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakaenda, wakamkuta mwana punda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaenda, wakamkuta mwana punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaenda zao, wakamwona mwanapunda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka kwenda, wakamwona mwana punda aliyefungwa mlangoni nje njiani, wakamfungua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaenda zao, wakamwona mwana-punda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakaenda, wakaona mwana-punda amefungwa inje, karibu na mulango wa nyumba pembeni ya barabara. Walipokuwa wakimufungua,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaenda zao, wakamwona mwana punda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.