Mark 11:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwana-punda?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwana-punda?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu na mahali pale wakawaambia, “Je, kwa nini mnamfungua mwana punda huyo?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza “Kwa nini mnamfungua huyo mwana punda?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Mna maana gani mnapomfungua huyo mwana punda?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Mna maana gani mnapomfungua huyo mwana-punda?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwanapunda?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine waliosimama huko wakawauliza: Mnafanya nini mkimfungua mwana punda?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaambia, Mnafanya nini kumfungua mwana-punda?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu waliokuwa pale wakawauliza: “Munafanya nini? Kwa nini munamufungua mwana-punda huyu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaamhia, Mnafanyani mkimfungua mwana punda?