Mark 11:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wakajibu kama Yesu alivyokuwa amewaambia; nao wakawaacha waende zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawajibu kama vile Isa alivyokuwa amewaagiza, nao wale watu wakawaruhusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawaambia kama Yesu alivyowaagiza, nao wakawaruhusu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanafunzi wake wakawaeleza yale walioambiwa na Yesu wayaeleze, nao wakawaacha waende zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wakajibu kama Yesu alivyokuwa amewaambia; nao wakawaacha waende zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wakajibu kama Yesu alivyokuwa amewaambia; nao wakawaacha waende zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawajibu kama vile Yesu alivyokuwa amewaagiza, nao wale watu wakawaruhusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawajibu kama vile Isa alivyokuwa amewaagiza, nao wale watu wakawaruhusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawaambia kama Yesu alivyowaagiza, nao wakawaruhusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wakajibu kama Yesu alivyokuwa amewaambia; nao wakawaacha waende zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakajibu, kama Yesu alivyowaambia; ndipo, walipowaacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawaambia kama Yesu alivyowaagiza, nao wakawaruhusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakawajibu sawa vile Yesu alivyowaambia, nao watu wale wakawaruhusu kwenda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawaambia kama Yesu alivyowaagiza.