Mark 11:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakamleta huyo mwana-punda kwa Isa na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamletea Yesu yule mwana-punda, wakatandika mavazi yao juu yake; akaketi juu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wakamleta mwana punda yule kwa Yesu na wakaweka mavazi yao ya ziada juu ya mwana punda, naye akampanda na kukaa juu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakampelekea Yesu huyo mwana punda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwana punda, na Yesu akaketi juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakamleta huyo mwana punda kwa Yesu na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakamleta huyo mwana-punda kwa Isa na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamletea Yesu yule mwanapunda, wakatandika mavazi yao juu yake; akaketi juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakampeleka mwana punda kwa Yesu, wakatandika nguo zao upesiupesi juu yake, kisha akampanda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamletea Yesu yule mwana-punda, wakatandika mavazi yao juu yake; akaketi juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamuletea Yesu yule mwana-punda na kutandika nguo zao juu yake. Kisha Yesu akaikaa juu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamletea Yesu yule mwana punda, wakatandika mavazi yao juu yake; akaketi juu yake.