Mark 11:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakatandaza matawi waliyokuwa wamekata mashambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao njiani, na wengine matawi waliyoyakata mashambani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi wakatandika makoti yao barabarani, na wengine wakatandika matawi waliyoyakata kwenye mashamba yaliyo jirani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani na wengine wakatandaza matawi waliyokuwa wamekata mashambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakatandaza matawi waliyokuwa wamekata mashambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao njiani, na wengine matawi waliyoyakata mashambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wengi wakatandika nguo zao njiani, wengine wakatandika matawi ya miti, waliyoyakata mashambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao njiani, na wengine matawi waliyoyakata mashambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi wakatandika nguo zao katika njia na wengine wakatandika matawi waliyokata katika mashamba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu wengi wakatandaza mavazi yao njiani, wengine wakakata matawi ya miti na kuyatandaza njiani.