Mark 11:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliotangulia na wale waliofuata, wakapaza sauti zao wakisema, “Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, “Hosana!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Mwenyezi Mungu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti, Hosana; ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote wale waliotangulia mbele na wale waliofuata walipiga kelele kwa shangwe, “‘Msifuni Mungu! Mungu ambariki yeye anayekuja katika Jina la Bwana!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wote waliotangulia na wale waliofuata wakapaaza sauti zao wakisema, “Hosana! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliotangulia na wale waliofuata, wakapaza sauti zao wakisema, “Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, “Hosana!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, “Hosana!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana Mwenyezi Mungu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti, Hosana; ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliotangulia na wale waliofuata, wakapaza sauti zao wakisema, “Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliotangulia nao waliofuata wakapaza sauti: Hosiana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti, Hosana; ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliotangulia mbele ya Yesu na wale waliofuata nyuma yake wakaanza kulalamika kwa sauti kubwa, wakisema: “Mungu asifiwe! Abarikiwe huyu anayekuja kwa jina la Bwana!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaaza sauti zao, wakinena, Utuokoe sasa; amebarikiwa ajae kwa jina la Bwana;