Mark 12:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hamjasoma Maandiko haya? ‘Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hamjasoma andiko hili: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata andiko hili hamjalisoma, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je! Hamjayasoma maandiko haya: ‘Jiwe ambalo wajenzi wamelikataa limekuwa jiwe kuu la msingi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hamjasoma Maandiko haya? Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hamjasoma Maandiko haya? ‘Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hamjasoma maandiko haya: “ ‘Jiwe lile walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hamjasoma Andiko hili: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata andiko hili hamjalisoma, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hamjasoma Maandiko haya? ‘Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamjalisoma bado andiko hilo la kwamba: Jiwe, walilolikataa waashi, hilihili limekuwa la pembeni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata andiko hili hamjalisoma, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamujasoma bado Maandiko Matakatifu yanayosema: ‘Jiwe lililokataliwa na wajengaji limekuwa sasa jiwe kubwa la musingi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta andiko hili hamjalisoma? Jiwe walilokataa waashi Hili limekuwa jiwe kuu la pembeni.