Mark 12:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ndiye alitenda jambo hili, nalo ni la kushangaza machoni petu’?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii imefanywa na Bwana na ni ajabu kubwa kwetu kuona!’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana amefanya jambo hili, nalo ni ajabu machoni petu’?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenyezi Mungu ndiye alitenda jambo hili, nalo ni ajabu machoni petu’?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo vimefanywa na Bwana; nasi tukivitazama, ni vya kustaajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni Bwana aliyefanya jambo hili, nalo ni ajabu sana kwetu.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neno hili limetoka kwa Bwana Nalo ni ajabu machoni petu.