Mark 12:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili wamtege Isa katika maneno yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodi, ili wamnase kwa maneno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa Kidini wakamtumia baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili kumkamata kama akisema chochote kimakosa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili kuja kumtega Yesu katika yale anayosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili kwenda kumtega Isa katika yale anayosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodi, ili wamnase kwa maneno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatuma kwake Mafariseo na watu wa Herode, wamtege kwa maneno yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodi, ili wamnase kwa maneno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafarisayo wamoja na watu wamoja waliojiunga na Herode walitumwa kwa Yesu kusudi wamunase katika masemi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodiano, illi wamnase kwa maneno.