Mark 12:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwonesha. Naye akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamletea hiyo sarafu. Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaileta. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo wakamletea sarafu, naye akawauliza, “Je, sura hii na jina hili ni la nani?” Nao wakamwambia, “Ya Kaisari.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakamwonyesha. Naye akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwonesha. Naye akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamletea hiyo sarafu. Naye akawauliza, “Picha hii ni ya nani na maandishi haya ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamletea hiyo sarafu. Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaileta. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwonesha. Naye akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomletea, akawauliza: Chama hiki cha nani? Maandiko nayo ya nani? Wakamwambia: Ni yake Kaisari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaileta. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakakileta kwake. Yesu akawauliza: “Sura hii na jina hili linaloandikwa hapa ni vya nani?” Wakamujibu: “Ni vya Mufalme wa Roma.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Ya nani sanamu hii na anwani hii?